Zoezi la upigaji wa kura limekamilika salama kinachosubiriwa ni kutangazwa kwa matokeo na hatimaye safu mpya ya uongozi wa Yanga kufahamika
Kura zinahesabiwa sasa na huenda kabla ya saa mbili usiku wa leo, matokeo yatakuwa yamefahamika
Wanachama 1341 wameshiriki katika uchaguzi huo
ADVERTISE HERE