Huyu je, aje au asije?

Admin By Admin
β€’
22 Jun 2017
Huyu je, aje au asije?
Ishu ya kiungo wa Mbeya City Rafael Daudi imefika pazuri huenda mchezaji huyo akakamilisha usajili wake wa kujiunga na Yanga mapema zaidi kabla hajatimkia Afrika Kusini na timu ya Taifa.

Uzuri mchezaji huyu amemaliza mkataba wa kuitumikia Mbeya City hivyo mwafaka wa dau la usajili ukifikiwa anasaini.

Lakini pia Yanga inamuwania beki kisiki wa Mtibwa Sugar Salim Mbonde. Mbonde naye yuko kwenye kikosi cha timu ya Taifa.

Ni mmoja wa Watanzania wenye uwezo wa juu kwenye nafasi ya mlinzi wa kati.

Wakati hatma ya Bossou ikiwa haieleweki ni vyema Yanga ikapata mlinzi mwingine wa kati atakayesaidiana na Shaibu, Yondani, Dante na Cannavaro.

Yondani na Cannavarro umri umesogea sasa ni dhahiri hawana uwezo wa kucheza kila mechi kama ilivyokuwa misimu miwili iliyopita.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’