Mwili wa Dk Mengi waagwa Karimjee Dar es salaam

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 May 2019
Mwili wa Dk Mengi waagwa Karimjee Dar es salaam

Mwili wa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Dk Reginald Mengi umeagwa leo ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Magufuli amewaongoza mamia ya waombolezaji kumuaga Mfanyabiashara huyo aliyegusa watu wengi wakiwemo walemavu na watu wenye mahitaji maalum aliokuwa akiwasaidia enzi za uhai wake.

Baada ya kuagwa leo, mwili wa Dk Mengi utasafirishwa kesho kwenda Machame, Moshi kwa ajili ya mazishi yatakayofanyika keshokutwa Alhamisi

Enzi za uhai wake Dk Mengi alikuwa ni mdau mkubwa wa michezo, alikuwa Mwanachama wa Yanga akishiriki kuifadhili timu hiyo kwa nyakati tofauti

Mpaka mauti yanamfika, Dk Mengi alikuwa mlezi wa timu ya Tafa ya Vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys ambapo mwezi uliopita alishiriki kikamilifu kuisimamia timu hiyo kwenye michuano ya AFCON ya vijana

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
11h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
15h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
20h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
23h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’