Yanga yamnyemelea kipa Tanzania Prisons

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 May 2019
Yanga yamnyemelea kipa Tanzania Prisons

Mlinda lango wa Tanzania Prisons Aaron Karambo yuko kwenye kiwango bora sana akiwa ameitwa katika kikosi cha timu ya Taifa 'Taifa Stars', kitakachocheza fainali za AFCON 2019 zitakazofanyika mwezi ujao nchini Misri

Wakati michakato ya usajili katika klabu ya Yanga ikiendelea kimyakimya, Karambo ni miongoni mwa wanaotajwa kuelekea Jangwani

Inadaiwa mabingwa hao wa kihistoria wanataka kumsajili mlinda lango huyo wakiachana na mpnago wa kumsajili Faroukh Shikalo kutoka Kenya

cut

Awali Yanga likuwa ikimnyemelea Shikalo, mlinda lango wa Bandari Fc ya Kenya hata hivyo inaonekana haitakuwa rahisi kuipata sahihi ya mlinda lango huyo uongozi wa Bandari Fc ukigoma kumuuza

Hivi karibuni kocha wa Yanga Mwinyi Zahera alifichua kuwa wako katika mazungumzo na wachezaji nane, wanne wa ndani na wengine wanne kutoka nje ya nchi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
18m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’