Nitawakumbuka mashabiki Yanga - Makambo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 May 2019
Nitawakumbuka mashabiki Yanga - Makambo

Mshambuliaji wa Yanga Heritier Makambo jana aliwashukuru mashabiki wa timu hiyo kwa kumuunga mkono katika kipindi chote alichokuwa hapa nchini

Makambo aliyefunga bao pekee la Yanga katika mchezo dhidi ya Mbeya City, anatarajiwa kuondoka mwishoni mwa msimu kujiunga na Horoya AC

"Nawashukuru mashabiki kwa kuniunga mkono. Ligi haikuwa rahisi kwetu lakini mashabiki walikuwa nasi kwa kipindi chote," amesema Makambo

"Tayari nimeshakamilisha kila kitu na Horoya hivyo nasubiri ligi imalizike nielekee Guinea nikaanze changamoto mpya"

"Ssitaacha kuwakumbuka mashabiki, wachezaji wenzangu kocha na viongozi wa Yanga kwani tumeshirikiana vizuri"

Makambo tayari amesaini mkataba wa awali klabu ya Horoya AC kinachosubiriwa ni viongozi wa timu hiyo kuja nchini kumalizana na Yanga kabla ya ITC yake kuachiwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’