Ndemla aigomea Simba, Yanga yajitosa kumuwania

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 May 2019
Ndemla aigomea Simba, Yanga yajitosa kumuwania

Wakati Simba ikitamba kumnasa Ibrahim Ajib, Kiungo Said Ndemla amegoma kusaini mkataba mpya kunako klabu hiyo na huenda akatua Yanga

Inaelezwa Ndemla 'amejiondoa' katika kikosi cha timu hiyo akisubiri mkataba wake umalizike aanze maisha sehemu nyingine

Kiungo huyo mwenye mashuti makali, licha ya umahiri wake, amekosa nafasi kwenye kikosi cha kwanza hiyo ikiwa sababu kuu ya kumfanya atake kuondoka

Juzi zilisambaa taarifa kuwa baada ya kugoma kusaini mkataba mpya, uongozi wa Simba uliamua kumuondoa kambini

Hata hivyo mwenyewe amekanusha taarifa hizo akisema kuwa hayuko kambini na Simba kwa kuwa anaumwa

cut

"Tetesi zote ambazo zimekuwa zikisemwa juu yangu naweza kusema zitabaki kuwa tetesi ila mipango kamili naijua mwenyewe," amesema Ndemla

"Taarifa za mimi kutolewa kambini kisa niligoma kusaini Simba, hazina ukweli, mimi ninaumwa sasa ni wiki nipo tu nyumbani naendelea na matibabu"

"Sina mpango wa kusaini Simba mapema, najipanga kuangalia dili langu la kucheza nje ya nchi, endapo nitakwama basi nitakuwa tayari kusaini Yanga au kuongeza mkataba Simba kama watakuwa bado wanahitaji huduma yangu"

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
10h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
13h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
18h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’