Tulifuata taratibu kumsajili Birigimana - Mwakalebela

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Jun 2019
Tulifuata taratibu kumsajili Birigimana - Mwakalebela

Klabu ya APR imetishia kupeleka malalamiko FIFA kupinga usajili wa Issa Birigimana aliyetua Yanga kwa mkataba wa miaka miwili

APR inadai kuwa winga huyo alikuwa na mwaka mmoja uliokuwa umebaki katika kataba wake aliosaini awali

Uongozi wa Yanga umesema uko tayari kufanya mazungumzo na APR kutatua changamoto yoyote (kama ipo)

Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela amesema walifuata taratibu zote kumsajili kiungo huyo lakini wako tayari kusikiliza malalamiko ya APR

"Hatukupokea malalamiko rasmi kutoka kwa APR, tumesikia kupitia vyombo vya habari," amesema Mwakalebela

"Tulimsajili Birigimana kwa kufuata taratibu zote kama zilivyoainishwa na FIFA lakini kama APR wana malalamiko tutawasikiliza ili kutatua changamoto yoyote kama itakuwepo"

Birigimana alisajiliwa Yanga pamoja na Patrick Sibomana ambaye pia alitokea Rwanda katika klabu ya Mkura Victory

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
22m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’