Nyota 23 wa Stars watakaoshiriki AFCON 2019 hadharani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Jun 2019
Nyota 23 wa Stars watakaoshiriki AFCON 2019 hadharani

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' Emmenuel Amunike amefanya mchujo wa kuchagua wachezaji 23 ambao watashiriki fainali za AFCON 2019 zinazoanza wiki ijayo nchini Misri

Stars iliyoweka kambi nchini Misri, ilikuwa na wachezaji 32 lakini wanaotakiwa kuandikishwa kwa ajili ya michuano hiyo ni 23

Gadiel Michael, Kelvin Yondani na Faisal Salum kutoka klabu ya Yanga ni miongoni mwa wachezaji waliojumusihwa kwenye kikosi hicho

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19m ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
9h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
14h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
18h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
19h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
19h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’