Timu ya vijana ya Yanga umri chini ya miaka 20 imekata ngebe za watani zao Simba baada ya kuwafumua mabao 2-1 katika mchezo ligi ya vijana hatua ya makundi uliopigwa uwanja wa Azam Complex, Chamazi
Yanga ililazimika kutokea nyuma na kupata ushindi huo muhimu
Ushindi huo ni zawadi 'mujarab' kwa Wanajangwani ambao kesho watafanya tukio kubwa ukumbi wa Diamond Jubilee, Harambee ya kuichangia Yanga maarufu kama Kubwa Kuliko



ADVERTISE HERE