Watani zetu Simba wamekuwa na utaratibu wa kutoa tuzo kwa wachezaji bora wa kila mwezi na sasa mchezaji bora wa mechi.
Jambo hili ni zuri, si vibaya viongozi wa Yanga nao wakafikiria mpango huo kwani una faida kwa timu.
Utaratibu huo unawapa motisha wachezaji mmoja mmoja na kuongeza kujituma miongoni mwao.
Sio Simba walioanzisha utaratiu huo, lakini wao wamekuwa wa kwanza kuutumia hapa Tanzania. Nchi mbalimbali timu zinatoa tuzo kwa wachezaji wao.
Hata Azam FC nao tayari wametangaza kutoa tuzo kwa mchezaji anayefanya vizuri kila mwezi.
Yanga, mabingwa wa kihistoria wanahitaji kuwa na utaratibu kama huo kutoa motisha kwa wachezaji.

ADVERTISE HERE