Kikosi cha Yanga umri chini ya miaka 20 wamealikwa kwenye hafla ya Harambee ya kuichangia Yanga inayofanyika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam
Vijana hao jana walipata ushindi muhimu wa mabao 2-1 dhidi ya Simba na kujiweka katika nafasi nzuri ya kutinga nusu fainali ya ligi ya vijana
Leo wako Diamond Jubilee kushuhudia Wanayanga wakiandika Historia
ADVERTISE HERE