Nyika ajivunia mafanikio Kubwa Kuliko

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Jun 2019
Nyika ajivunia mafanikio Kubwa Kuliko

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya usajili Yanga Hussein Nyika amesema Wanayanga wanapaswa kujivunia hatua hii waliyoifikia leo kwa kufanya tukio kubwa la kuichangia timu yao

Nyika akiwa mmoja wa Wajumbe wa uongozi uliopita ambao mchakato ulianzia kwao, amesema leo Yanga inadhihirisha kuwa Wananchi wanaweza kuiendesha timu yao wao wenyewe

"Mimi nimefurahi kuwa hapa, najivunia kuwa mmoja wa viongozi waliopita ambao wameshiriki kikamilifu kufanikisha tukio hili"

"Leo tunakwenda kuandika historia ambao pengine itabadili fikra za watu katika uendeshaji wa timu nchini," amesema Nyika

Akizungumzia usajili unaoendelea kufanywa na Yanga, Nyika amesema ameridhishwa na usajili huo na anaamini msimu ujao kikosi cha Yanga kitakuwa imara mara

Harambee ya kuichangia Yanga tayari imeanza ukumbi wa Diamond Jubilee ambapo wakati wowote mgeni rasmi Mh Kassim Majaliwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atawasili

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’