Safu ya ulinzi Yanga usipime

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Jun 2019
Safu ya ulinzi Yanga usipime

Mpaka sasa Yanga imekamilisha usajili wa walinzi watatu wa kati Lamine Moro raia wa Ghana, Mustapha Suleyman raia wa Burundi na Ally Ally aliyesaini mkataba wa miaka miwili jana

Inaelezwa pia Yanga ilishamalizana na mlinzi wa Lipuli Fc Ali Mtoni 'Sonso' ambaye kama kila kitu kitaenda sawa atasaini baada ya kumalizika kwa michuano ya Afcon 2019 inayoanza kesho huko Misri

Msimu uliopita Yanga iliwategemea walinzi watatu mkongwe Kelvin Yondani, Andrew Vicent Chikupe na Abdallah Shaibu 'Ninja'

Yondani na Chikupe bado wana mikataba Yanga wakati mkataba wa Ninja ulimalizika Juni 15 2019

Kama Sonso atasajiliwa na Ninja ataongezwa mkataba, Yanga itakuwa na walinzi saba wa kati

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’