Yanga Princess yanasa kifaa kutoka Simba Queens

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Jun 2019
Yanga Princess yanasa kifaa kutoka Simba Queens

Uongozi wa Yanga umeendelea kukiimarisha kikosi cha timu ya Wanawake 'Yanga Princess' ambapo leo umekamilisha usajili wa Asha Abdul Malamwa waliyemnyakua kutoka kwa watani zao Simba Queens

Malamwa amesaini mkataba wa miaka miwili mapema leo

Anakuwa mchezaji wa nne kusajiliwa katika kipindi cha siku mbili

Uongozi wa Yanga umedhamiria kuunda kikosi imara cha timu ya Wanawake itakayoweza kutwaa ubingwa msimu ujao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
12h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
16h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
17h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
17h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’