Baada ya kilicho cha muda mrefu cha mashabiki wa Yanga kutaka jezi za wachezaji ziandikwe majina mgongoni, uongozi wa Yanga umesikia kilio hicho na sasa jezi watakazovaa wachezaji zitakuwa na majina mgongoni.
Jumamosi Yanga itashuka kwenye dimba la Uhuru kuivaa Ndanda, kwa mara ya kwanza wachezaji watavaa jezi zikiwa na majina yao mgongoni.
Hii ni habari njema pia kwa wale wanaotaka kununua jezi zenye majina ya wachezaji wanaowapenda!

ADVERTISE HERE