Niyonzima atangaza kuondoka Simba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Jun 2019
Niyonzima atangaza kuondoka Simba

Kiungo wa zamani wa Yanga Haruna Niyonzima amethibitisha kuwa ameachana na Simba klabu aliyoitumikia kwa misimu miwili tu

Niyonzima aliyetua Simba kwa mbwembwe akitokea Yanga, ameandika ujumbe wa kuwaaga mashabiki wa Simba kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

Licha ya kuhusishwa kuwa na mazungumzo na Yanga, uongozi wa Yanga umekanusha kutaka kumrejesha Jangwani kiungo huyo aliyejijengea jina na heshima katika klabu ya Yanga

Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela amesema Niyonzima hakuwa miongoni mwa wachezaji wa kigeni waliopendekezwa kusajiliwa na kocha Mwinyi Zahera

Huenda akaibukia klabu ya Azam Fc

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
12h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
16h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
21h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’