DR Congo yaondoshwa Afcon, Zahera kuiwahi kambi ya Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Jul 2019
DR Congo yaondoshwa Afcon, Zahera kuiwahi kambi ya Yanga

DR Congo imeondoshwa na Madagascar kwenye michuano ya Afcon raundi ya 16 bora kwa mikwaju ya penati 4-2 baada ya matokeo ya sare ya mabao 2-2

Kocha Mwinyi Zahera wa Yanga ni miongoni mwa makocha wanaounda benchi la ufundi la DR Congo

Baada ya matokeo hayo ni dhahiri Zahera atawahi kambi ya Yanga inayoanza Jumatatu mkoani Morogoro

Zahera aliahidi kuwahi kurejea jijini Dar es salaam kuungana na Yanga kama DR Congo haitafanikiwa kutinga hatua nusu fainali

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’