Ligi kuu ya Vodacom imeendelea leo kwa mchezo mmoja mkoani Mwanza ambapo Mbao FC ilikuwa mwenyeji wa Simba, moja ya timu zilizojipanga kutwaa ubingwa wa VPL msimu huu.
Mchezo huo umemalizika kwa sare ya mabao 2-2 Mbao ikitokea nyuma mara mbili na kufanikiwa kugawana alama moja moja na Simba.
Matokeo hayo yanaendelea kudhihirisha kuwa timu zote zinazoshiriki ligi kuu msimu huu zimejipanga na tusitegemee kwamba kuna timu itagawa pointi kirahisi hasa inapokuwa nyumbani.
Jumamosi Yanga itashuka kwenye dimba la Uhuru kuumana na Ndanda. Sasa ina nafasi kwa mara nyingine kuwafikia mahasimu wao kama itaweza kuibuka na ushindi kwenye mchezo huo.

ADVERTISE HERE