Azam Media imepata pigo baada ya wafanyakazi wake watano kufariki kwenye ajali ya gari mkoani Singida
Ajali hiyo iliyotokea leo kati ya Shelui na Igunga imesababisha vifo vya watu saba huku wengine wawili wakijeruhiwa
Wafanyakazi wa Azam Media walikuwa wanakwenda Chato kuonyesha mbashara tukio la uzinduzi wa hifadhi ya Burigi
Tunawapa pole Azam Media, Familia na wote walioguswa na msiba huu
ADVERTISE HERE