Yanga ilikuwa na wachezaji watano kwenye timu za Taifa zilizokuwa zikishiriki fainali za Afcon 2019 nchini Misri
Wachezaji hao bado hawajaripoti kambini mkoani Morogoro baada ya kupewa mapumziko ya siku 10
Farouq Shikalo, Metacha Mnata, Kelvin Yondani, Ali Mtoni na Feisal Salum walikuwa nchini Misri na vikosi vya Kenya na Tanzania
Wakati Shikalo akitarajiwa kujiunga na Yanga baada michuano ya Kagame kumalizika, wengine waliokuwa timu ya Taifa ya Tanzania, wanatarajiwa kuwasili mkoani Morogoro kuanzia Ijumaa
ADVERTISE HERE