Yanga yasogeza mbele Tamasha la Mwananchi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Jul 2019
Yanga yasogeza mbele Tamasha la Mwananchi

Mchezo wa Kimataifa wa kirafiki ambao Yanga ilipaswa kucheza Julai 27 uwanja wa Taifa kuhitimisha wiki ya Mwananchi, umesogezwa mbele ambapo utapangiwa tarehe nyingine

Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Dismas Ten amesema timu ya Taifa itacheza na Kenya kati ya Julai 26 na 28 katika mchezo wa kusaka tiketi ya kufuzu michuano ya CHAN inayohusisha wachezaji wa ndani

Hivyo kutokana na muingiliano wa ratiba, Yanga imelazimika kubadili tarehe ya wiki ya Mwananchi ambapo tarehe mpya itatangazwa baadae

Amesema timu itaendelea kujifua mkoani Morogoro kujiandaa na Tamasha hilo

Yanga imepanga kutumia Tamasha hilo kutambulisha kikosi chake cha msimu ujao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’