Manyika amfungia kazi Kindoki

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Jul 2019
Manyika amfungia kazi Kindoki

Mlinda lango Klaus Kindoki ataendelea kubaki Jangwani baada ya mchakato wa kusitisha mkataba wake kukwama

Jina lake limetumiwa CAF akiwa miongoni mwa wachezaji watakaoshiriki michuano ya ligi ya mabingwa

Msimu uliopita haukuwa mzuri wala mbaya kwake kutokana na kukabiliwa na changamoto za hapa na pale

Licha ya kufanya vizuri kwenye baadhi ya michezo, kuna wakati alifanya makosa ambayo yaliigharimu Yanga

Pengine hii ndio sababu mashabiki wengi wa Yanga wamekosa imani baada ya kumuona anaendelea kubaki Jangwani

Kuhakikisha anaimarisha kiwango chake, Mkufunzi wa makipa Peter Manyika ameanza kumnoa mlinda lango huyo kutoka DRC

Manyika amekuwa akimpa Kindoki program maalum ya mazoezi mkoani Morogoro

Kindoki na Kabwili ndio walinda lango ambao wameripoti kambini mkoani Morogoro wakati Farouq Shikalo na Metacha Mnata wakisubiriwa kuungana nao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
27m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’