Tshishimbi kuikosa Mtibwa Sugar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Sep 2017
Tshishimbi kuikosa Mtibwa Sugar
Kiungo Papi Kabamba Tshishimbi ameonyeshwa kadi ya tatu ya njano kwenye mchezo dhidi ya Ndanda na hivyo atakosa mchezo ujao dhidi ya Mtibwa Sugar.

Tshishimbi amekuwa msaada mkubwa kwenye kikosi cha Yanga, kukosekana kwake ni dhahiri kutaweza kuiathiri Yanga kwenye mchezo huo dhidi ya Mtibwa Sugar ambayo haijapoteza hata mchezo mmoja.

Yanga imefamikiwa kuondoka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ndanda.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’