Baada ya kiungo fundi Papi Kabamba Tshishimbi kulamba kadi za njano tatu, kanuni zinamlazimu kukaa nje mchezo mmoja.
Sasa kocha msaidizi wa Yanga Shedrack Nsajigwa amesema hilo haliwaumizi kichwa kwa kuwa wana muda wa kutosha kabla ya kucheza na Mtibwa Jumamosi ijayo.
Γ’β¬ΕLazima tulifanyie kazi na tuna muda, hivyo litakuwa pengo ambalo tutaliziba,Γ’β¬Β amesema.
Tshishimbi amelambwa kadi tatu za njano kwenye michezo ya ligi dhidi ya Lipuli, Njombe Mji na Ndanda.

ADVERTISE HERE