Yanga yapangwa na Township Rollers hatua ya awali ligi ya mabingwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Jul 2019
Yanga yapangwa na Township Rollers hatua ya awali ligi ya mabingwa

Droo ya hatua ya awali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika imefanyika leo nchini Misri ambapo kwa mara ya pili Yanga imepangwa kucheza na Township Rollers ya Botswana

Mwaka jana Yanga ilikutana na Rollers kwenye raundi ya kwanza na ikaondoshwa katika michuano hiyo kwa kuchapwa mabao 2-1 kwenye mchezo uliopigwa uwanja wa Taifa

Mchezo wa marudiano uliopigwa Botwasana, tmu hizo zilitoka suluhu ya bila kufungana

Yanga itaanzia jijini Dar es salaam ambapo mchezo wa kwanza utapigwa uwanja wa Taifa kati ya August 09-11

Mchezo wa marudiano utapigwa kati ya August 23-25 nchini Botswana

Kama Yanga itavuka hatua ya awali, raundi ya kwanza itakutana na mshindi wa mchezo kati ya Green Mamba ya Eswatini na ZESCO United ya Zambia

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
7h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
11h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
16h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
20h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’