Muhimu ni jinsi tunavyomaliza na sio tulivyoanza

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Sep 2017
Muhimu ni jinsi tunavyomaliza na sio tulivyoanza
Mshambuliaji wa zamani wa Yanga Abeid Mziba amewataka wachezaji wa Yanga kuhakikisha wanafanya vizuri kwenye michezo ijayo ili kuweza kuweka historia ya kutwaa ubingwa wa VPL kwa msimu wa nne mfululizo.

Yanga inashika nafasi ya sita kwenye msimamo wa ligi baada ya michezo yote ya mzunguuko wa nne kukamilika.

Tofauti yake na vinara wa ligi hiyo Mtibwa Sugar ni alama mbili pekee.

Licha ya kuanza taratibu Yanga bado ina nafasi ya kutetea ubingwa wake.

Kwa sababu hiyo Mziba amewataka wachezaji waelekeza nguvu kwenye mwendelezo wa mechi za mbele na siyo walivyoanza kwamba itawajenga kuwa jasiri kupigania ubingwa, utakaowafanya wa kipee kwa kizazi kijacho.

"Ulimwengu huu una kasi ya ajabu, vyema kila mchezaji atamani kuwa wa kipee kwenye kazi zake, Yanga wana nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa, kinachotakiwa ni wanamalizaje na siyo wameanzaje, wajitume watafanikiwa," amesema.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’