Wanayanga Tabora wafanya usafi, wachangia damu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Jul 2019
Wanayanga Tabora wafanya usafi, wachangia damu

Maadhimisho ya wiki ya Mwananchi yameanza rasmi leo ambapo Wanayanga kote nchini wameaswa kushiriki katika shughuli mbalimbali za kijamii

Mkoani Tabora, Wanayanga wameshiriki kwa kufanya usafi kwenye Soko la Ng'ambo pamoja na kuchangia damu kwenye benki ya damu Kanda ya Magharibi

Maadhimisho hayo yanafanyika nchi nzima

Maadhimisho hayo yatakwenda mpaka August 04 ambapo siku hiyo yatahitimishwa kwa Wanayanga kukutana uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
10h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
13h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
18h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’