Yanga yapongeza muitikio wiki ya Wananchi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Jul 2019
Yanga yapongeza muitikio wiki ya Wananchi

Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya klabu ya Yanga Rogers Gumbo amepongeza mwitikio wa Wanayanga waliojitokeza kufanya shughuli mbalimbali za kijamii leo baada ya uzinduzi wa wiki ya Mwananchi

Akizungumza na waandishi wa habari Makao Makuu ya klabu ya Yanga, Gumbo amesema zoezi hilo limepokelewa vyema na wapenzi, washabiki na Wananchama wa klabu ya Yanga kutoka sehemu mbalimbali nchini

Gumbo amesema kwa mkoa wa Dar es salaam shughuli mbalimbali zitafanyika Mbagala Zakhiem

Matukio kama kutafuta vikundi bora vya ushangiliaji yatafanyika Mbagala hivyo Wanayanga wameaswa kuelekea huko

Aidha viongozi wa Yanga wataondoka mapema kesho kuelekea visiwani Zanzibar ambapo uzinduzi rasmi utafanyika

Miongoni mwa shughuli zitakazofanyika Zanzibar ni kutembelea kaburi la Rais wa kwanza wa visiwa hivyo hayati Abeid Aman Karume ambaye alikuwa Mwanachama wa Yanga aliyechangia maendeleo ya timu hiyo

Jengo la klabu ya Yanga Jangwani ni matokeo ya mchango wa Hayati Karume

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’