Kiungo mshambuliaji wa Yanga Mrisho Ngasa ameibuka kuwa nyota wa mchezo dhidi ya Mawenzi Market uliopigwa uwanja wa Jamhuri leo
Ngasa alikabidhiwa tuzo baada ya mchezo huo uliomalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0
Ngasa amekuwa na mwanzo mzuri katika maandalizi ya kikosi cha Yanga mpaka sasa akiwa amefunga mabao matatu kwenye michezo ya kirafiki
ADVERTISE HERE