jana Yanga iliichapa Mawenzi Market bao 1-0 katika mchezo wa kirafiki uliopigwa uwanja wa Jamhuri
Mchezo huo ulikuwa sehemu ya tamasha la kidini lililoandaliwa na Faith Baptist Church ya mkoani Morogoro
Picha na mtukio mbalimbali yaliyojiri kwenye mchezo huo;






ADVERTISE HERE