Uongozi wa Yanga umetoa taarifa baada ya kuripotiwa kuwa uongozi umefanya mazungumzo na kocha wa Mbao FC Ettiene Ndayiragije.
Taarifa hiyo imekanushwa vikali na Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten na kusisitiza kuwa habari hiyo ni muendelezo wa uchonganishi unaofanywa na watu wasioitakia mema Yanga.
Hata kocha mwenyewe wa Mbao FC, Ndayiragije ameshangazwa na habari hiyo na amesisitiza hajawahi kufanya mazungumzo na kiongozi yeyote wa Yanga.
Habari hiyo iliyoripotiwa na magazeti ya mengi ya michezo leo inabainisha kuwa Ndayiragije anachukuliwa na Yanga kuchukua nafasi ya Shedrack Nsajigwa.
Hata hivyo kocha huyo bado ana mkataba mrefu na klabu yake ya Mbao FC.

ADVERTISE HERE