Jana baada ya mazoezi kikosi cha Yanga kilipata fursa ya kutembelea kituo cha televisheni cha Azam (Azam TV), moja ya wadhamini wa ligi.
Ziara hiyo maalumu ilifanyika jana, Jumanne saa 12 jioni kuwapa fursa wachezaji kupata uelewa juu ya mambo mbalimbali nje ya kazi yao ya kusakata kabumbu.

Hivi karibuni Yanga itazindua kipindi chake cha televisheni (Yanga TV) ambacho kitakuwa kikirushwa na televisheni hiyo.

ADVERTISE HERE