Zahera aikubali nguvu ya Wananchi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Aug 2019
Zahera aikubali nguvu ya Wananchi

Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amekiri kushangazwa na umati alioushuhudia jana uwanja wa Taifa katika mchezo wa kuhitimisha wiki ya Mwananchi kati ya Yanga dhidi ya Kariobangi Sharks

Zahera amesema siku ya jana ilikuwa ya kihistoria kwake na kwa familia ya mpira wa miguu nchini

Amewataka Wanayanga warudie tukio hilo wiki ijayo kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa utakaopigwa Jumamosi dhidi ya Township Rollers

"Siwezi kusahau nguvu ya Wananchi niliyoishuhudia jana," amesema

"Ilikuwa siku ya kipekee kwangu na kwa familia ya mpira wa miguu nchini. Nawataka mjitokeze kwa wingi Jumamosi mkiwa mmevalia jezi zenu kama ilivyokuwa jana"

Tayari uongozi wa Yanga umetangaza viingilio vya mchezo wa Jumamosi kuwa ni 5,000 kwa mzunguko huku VIP ikiwa 15,000 na lile eneo maalum zaidi ikiwa 50, 000.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’