Baada ya kuwasili visiwani Zanzibar mapema leo, jioni kikosi cha Yanga kimejifua kwenye uwanja wa Mao yakiwa ni maandalizi ya mchezo wa ligi ya mabingwa
Kesho Jumatano Yanga itashuka kwenye uwanja wa Amaan kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Mlandege FC
Mabingwa hao wa kihistoria watakuwa visiwani Zanzibar kwa siku tatu ambapo Alhamisi pia watacheza mchezo mwingine wa kirafiki dhidi ya Malindi
ADVERTISE HERE