Yondani, Chikupe, Abdul safi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Aug 2019
Yondani, Chikupe, Abdul safi

Walinzi Kelvin Yondani, Juma Abdul na Andrew Vicent watajiunga na Yanga visiwani Zanzibar baada ya kumaliza changamoto baina yao na uongozi

Wakati Yondani akichelewa kutokana na majukumu ya timu ya Taifa, Abdul na Chikupe hawakuingia kambini mkoani Morogoro wakisubiri kulipwa madai yao

Kocha Mwinyi Zahera alisema wachezaji hao wana madai ya msingi hivyo kuutaka uongozi wa Yanga uyatatue ndio warejee kujiunga na wenzao

Yanga iko Zanzibar ikijiandaa na mchezo wa ligi ya mabingwa ambao utapigwa Jumamosi dhidi ya Township Rollers

Yondani anayo nafasi ya kucheza mchezo huo lakini Abdul na Chikupe huenda wakahitaji muda zaidi ya kujifua kwa kuwa hawakufanya mazoezi ya kitimu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’