Rollers waingia mchecheto, wabeba maji, juisi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Aug 2019
Rollers waingia mchecheto, wabeba maji, juisi

Timu ya Township Rollers ambayo kesho itacheza na Yanga, iliwasili nchini jana jioni

Rollers wametua nchini wakiwa na msafara wa watu 38 wakiwemo wachezaji, benchi la ufundi na baadhi ya viongozi wa timu hiyo

Mabingwa hao wa Botswana wamewasili nchini wakibeba maji na juisi kwa ajili ya matumizi yao wakati wote watakaokuwa nchini wakihofia kufanyiwa hujuma

Huo ni woga, hata hivyo Yanga haina historia ya kuzifanyia hujuma timu zinazokuja kucheza hapa nchini

Pengine hofu hiyo imetokana na kilichotokea msimu uliopita ambapo timu kadhaa zilizokuja kucheza na Simba, zililalamika kufanyiwa hujuma

Wanadhani huo ni utamaduni wa timu za Tanzania jambo ambalo sio sahihi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
3h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
18h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
22h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’