Yanga yathibitisha kumaliza na Juma Abdul, Yondani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Aug 2019
Yanga yathibitisha kumaliza na Juma Abdul, Yondani

Uongozi wa klabu ya Yanga umethibitisha kumalizana na wachezaji wake wawili waliokuwa na madai Kelvin Yondani na Juma Abdul ambao tayari wameungana na kambi ya timu hiyo mkoani Kilimanjaro

Akizungumza na waandishi wa habari leo, Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela amesema wanatarajia kufanya mazungumzo na beki Andrew Vicent ili nae ajiunge na timu

"Yondani yuko kambini tangu juzi, leo Juma Abdul nae ameungana na timu," amesema

"Leo au kesho tutakuwa na kikao na Andrew Vicent ili nae ajiunge na wenzake haraka"

"Tunathamini mchango wa wachezaji hawa kwa timu yetu ndio maana tunataka tumalize changamoto iliyokuwepo"

Mwakalebela amesema wanataka kuwa na kikosi kamili kwenye mchezo wa marudiano dhidi ya Township Rollers ambao utapigwa August 23 nchini Botswana

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’