Kiungo Mapinduzi Balama ataungana na kambi ya Yanga mkoani Kilimanjaro leo baada ya kukamilisha kuhuisha pasi yake ya kusafiria
Ili kuhakikisha wachezaji wote hawakwami kusafiri kwenda Botswana, Balama alibaki jijini Dar kumaliza changamoto hiyo wakati wenzie wakielekea Moshi
Uongozi wa Yanga umethibitisha mchezaji huyo atatua moshi leo
ADVERTISE HERE