Uongozi Yanga watosa 'makomandoo'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Aug 2019
Uongozi Yanga watosa 'makomandoo'

Jana kwenye mitandao ya kijamii taarifa za kundi la Task Force lililokuwa linahusika na kulinda timu katika michezo mbalimbali, liliandika barua kwa uongozi wa Yanga likitangaza kuacha majukumu hayo

Kundi hilo ambalo lilianzishwa enzi za Manji, limeeleza kuvunja shughuli zake baada ya kukosa ushirikiano kutoka kwa uongozi

Wanadai kwenye mchezo dhidi ya Township Rollers waliambiwa kuwa hawahitajiki huku wakilipwa kiasi cha Tsh 1.7M kusimamia mchezo huo

Hata hivyo ni kama uongozi wa Yanga chini ya Mwenyekiti Dk Mshindo Msolla ameamua kuachana na utaratibu wa kutumia makomandoo hao ambao kila mchezo wamekuwa wakilipwa fedha nyingi

Utaratibu wa kutumia Makomandoo ulianzishwa na Dk Jonas Tiboroha mwaka 2015 wakati akiwa Katibu Mkuu wa Yanga chini ya Uwenyekiti wa Yusuf Manji

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’