Yanga kuifuata Rollers August 20

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Aug 2019
Yanga kuifuata Rollers August 20

Msafara wa kikosi cha Yanga unatarajiwa kuondoka nchini August 20 kuelekea Botswana kwa ajili ya mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa dhidi ya Township Rollers

Mchezo huo utapigwa August 23, jijini Gaboronne

Yanga imeweka kambi Moshi ikijiandaa na mchezo huo

Mabingwa hao wa kihistoria wataunganisha moja kwa moja kutoka Moshi kuelekea Botswana baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya AFC Leopards ambao utapigwa Jumapili, August 18

Kesho Ijumaa Yanga itacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Polisi Tanzania

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’