Mayay aikana Makala inayokosoa mfumo Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Aug 2019
Mayay aikana Makala inayokosoa mfumo Yanga

Kiungo wa zamani wa Yanga Ally Mayay Tembele amesema Makala inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii inayokosoa mambo kadhaa ndani ya Yanga hakuandika yeye

Mayay amesema hakuandika Makala hiyo ambayo pia tulikuwa nayo humu, amesema pengine yupo mtu mwingine anayetumia jina kama lake

Ameongeza kama hakuna mtu mwingine anayetumia jina hilo, basi kutakuwa na watu ambao wametunga makala hiyo wakitumia jina lake kwa manufaa wanayofahamu wao wenyewe

Makala hiyo tumeiondoa jukwaani

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’