Beki Ally Mtoni Sonso amesema leo watapambana ili wapate ushindi kwenye mchezo dhidi ya Township Rollers
Amewataka maashabiki wa Yanga kuwaombea dua ili waweze kutimiza lengo hilo
"Leo ushindi lazima, tunawaomba mashabiki watuombee tufanikishe"
Mchezo unatarajiwa kuanza saa tisa Alasiri kwa saa za Botswana ambapo kwa Tanzania itakuwa saa 10 jioni
ADVERTISE HERE