Buswita atwaa tuzo ya mchezaji bora dhidi ya Mtibwa Sugar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Oct 2017
Buswita atwaa tuzo ya mchezaji bora dhidi ya Mtibwa Sugar
Kiungo Pius Buswita amechaguliwa kuwa mchezaji bora katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Mtibwa Sugar.

Mchezo huo uliopigwa Jumamosi jioni kwenye dimba la Taifa ulishuhudia timu hizo zikishindwa kufungana kwa kutoka suluhu ya 0-0.

Huo ulikuwa mchezo wa kwanza kwa Biswita msimu huu baada ya kutolewa kifungoni na TFF kufuatia swala la utata wa usajili wake kumalizwa.

Buswita ameongeza nguvu kwenye kikosi cha Yanga na hakika uwepo wake katika mchezo huo kwa kiasi fulani uliongeza kasi ya kushambulia ya Yanga.

Yanga imeanzisha utaratibu wa kuwapa tuzo wachezaji bora wa kila mchezaji na tuzo hiyo itamzawadia kitita cha Tsh 500,000/-
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’