Zahera aishushia lawama Bodi ya Ligi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Aug 2019
Zahera aishushia lawama Bodi ya Ligi

Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amesema Bodi ya ligi iligoma kusogeza mbele mchezo wa Yanga dhidi ya Ruvu Shooting uliopigwa leo uwanja wa Uhuru kwa kuwa timu ya Taifa ilipaswa kuingia kambini leo

Akizungumza na waandishi wa habari baada ya mchezo leo, Zahera alisema uongozi wa Yanga uliiandikia barua Bodi ya Ligi ukitaka mchezo huo usogezwe mbele kutokana na kutokuwa na muda wa kutosha wa kuiandaa timu kucheza leo

"Tuliwataarifu mapema kuwa hatutaweza kucheza leo kwa sababu muda uliokuwepo ni mdogo na tulipaswa kusafiri kutoka Botswana"

"Lakini walitukatalia, wakisema timu ya Taifa inapaswa kuingia kambini leo hivyo mchezo wetu hauwezi kusogezwa August 30"

"Lakini wenzetu Simba wameruhusiwa kucheza kesho August 29 wakati sisi walitukatalia kwa kuwa wachezaji wanatakiwa kuingia kambi ya timu ya Taifa leo"

"Kama Simba wamewaruhusu wachezaji wao kuingia kambini baada ya mchezo wa kesho, na sisi wangeweza kuturuhusu tucheze August 30 na baada ya mchezo huo wachezaji wangeingia kambini"

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
16h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
20h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’