Hili la Zahera kupewa mechi tatu halina ukweli wowote

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Sep 2019
Hili la Zahera kupewa mechi tatu halina ukweli wowote

Wakati Yanga ikijiandaa na mchezo wa raundi ya kwanza ligi ya mabingwa dhidi ya ZESCO United ambao utapigwa Septemba 14, kuna vyombo vya habari vinaonekana kutumia nguvu kubwaΒ  kutengeneza taarifa za kuwachanganya Wanayanga

Moja ya magazeti ya jana (Jumapili), liliripoti kuwa uongozi wa Yanga umempa kocha Mwinyi Zahera mechi tatu ambazo kama hakufanya vizuri atafukuzwa

Yanga imezikana taarifa hizo na kusisitiza kuwa hazina ukweli wowote

Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msolla amesema hakuna jambo hilo na taarifa hiyo ipuuzwe

Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano Yanga, Rodgers Gumbo ameeleza kushangazwa na taarifa hizo

"Sisi kama viongozi hatuna taarifa hizo eti tumempa kocha mechi tatu ambazo asiposhinda tunamfukuza, ni uongo"

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
16h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
20h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’