Kikosi cha Yanga kiliwasili mkoani Mwanza jana jioni na leo kimeanza maandalizi ya mchezo dhidi ya ZESCO United
Mchezo huo wa ligi ya mabingwa utapigwa Jumamosi, Septemba 14 kwenye uwanja wa Taifa

Yanga inajifua kwenye uwanja wa CCM Kirumba, moja ya viwanja bora vya soka nchini
Wakiwa hapo Mwanza wanatarajiwa kucheza michezo miwili ya kirafiki dhidi ya Pamba Fc na Toto Africans
ADVERTISE HERE