Leo ni siku ya kuzaliwa moja ya majembe yaliyoweka heshima kubwa katika klabu ya Yanga, Simon Msuva.
Msuva anayechezea Difaa Al Jadida ya Morocco alizaliwa siku kama ya leo miaka 24 iliyopita.
Familia ya WanaYanga tunamtakia kila la kheri katika siku yake hii muhimu.

ADVERTISE HERE