Yanga ya kimataifa imerejea katika anga za kimataifa kupeperusha bendera ya Tanzania.
Mwananchi, Mwanayanga, mpenda soka na Taifa lako, njoo wewe na rafiki zako, familia yako pamoja na wote uwapendao tuisapoti timu ya Wananchi ikimenyana na ZESCO Jumamosi tarehe 14.09.2019
Shamrashamra zitaanza saa tano asubuhu mpaka saa 12 jioni.
ADVERTISE HERE