Wakati Yanga ikijiandaa na mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Zesco United, nyota wake watano waliitwa timu ya Taifa ambayo leo imepoteza mchezo dhidi ya Sudan kwa kufungwa bao 1-0
Mkongwe Kelvin Yondani alianza kwenye kikosi cha kwanza wakati Metacha Mnata alikuwa miongoni mwa wachezaji 'sub'
Feisal Salum, Mohammed Issa na Abdulaziz Makame wote hawakuwa hata 'sub' na pengine kocha Etienne Ndayiragije hakuwa na sababu ya kuwaita
Angewaacha tu wajifue Yanga kujiandaa na mchezo dhidi ya Zesco
ADVERTISE HERE