Yanga imechagua kutumia logo nyeusi ya kampuni ya Vodacom ambao ndio wadhamini wa ligi kuu ya Tanzania Bara msimu huu
Uongozi wa Yanga uliweka wazi kuwa hautakuwa tayari kuweka logo nyekundu ya wadhamini hao katika jezi zao
Katika udhamini wa kwanza wa Vodacom miaka michache iliyopita, Yanga ilitumia logo nyeusi pia
ADVERTISE HERE